Thursday, November 17, 2011

mkutano wa Waandishi na Wadau wa Habari uliofanyika tarehe 08.10.2011, katika ukumbi waEACROTANAL Zanzibar, Mkutano huo uliandali na ZPC na UTPC

Waandishi wakiwa katika mkutano wa pamoja na wadau wa habari, mkutano ambao ulifanyika kawenye ukukmbu wa Eacrotanal Zanzibar

Katibu Mtendaji na Naibu Katibu wa ZPC wakiwa kwenye Mkutano wa wadau na waandishi wa habari
Waandishi na wahariri wa habari kutoka kwenye vombo mabali mbali wakifuatilia kwa makini mada ya Utawala bora kwenye vyombo vya habari kwenye mkutano uliowakutanisha waandishi na wadawa wa habari nchini

Waandishi na Wadau wahabari wakiwa wamesima pamoja katika kuwaombea dua ndugu na jamaa waliofariki kwenye ajali ya meli ya Mv Spice Islanders hivi karibu visiwani ZanzibarMkurugenzi wa Shirika la Utaangazaji la Zanzibar mwenye kipaza sauti akijibu maswali yaliyoulizwa na washiriki katika mkutano kati ya waandishi na wadau wahabari

Mjumbe kutoka kwenye jumuiya ya Zanzibar Youth Forum akichangia mada

Mtangazaji kutoka Chuchu Fm akichangia mada

Mtangazaji kutoka Bomba Fm akichangi mada

Katibu Mkuu wa PPC akichangia mada kwenye Mkutano wa wadau na waandishi wa habariMjumbe kutoka AIDNET Zanzibar akichangia mada

Mwakilishi kutoka katika Idara ya Ustawi wa Jamii akichangia mada


Mjumbe kutoka chama cha AFP akichangia madaMwandishi wa The Gurdian akichangia mada


Mwasilishaji mada, ambaye pia ni mshauri katika masuala ya habari

Mwenyekiti wa ZPC akifungua mkutano wa Wadau na Waandishi wa Habari, mkutano ambao uliendesha na kusimamiwa na ZPC na UTPC.Picha zote ma Haroub Hussein Khamis wa Zanzibar Press Club

No comments:

Post a Comment