Thursday, May 6, 2010

Press Club yasiini mkataba mwaka mmoja na save the children

Zanzibar Press Club, hivi karibuni imetia saini makubaliano ya kazi save the children kwa ajili ya kufanya vipindi mbali mbali katika radio na television

aidha mkataba huo mwa muda wa miezi kumi na mbili tafanya kwa ushirikiano baina ya ZPC na PPC

No comments:

Post a Comment