Sunday, July 31, 2011

Viongozi wa Lindi Press Club

Viongozi wa Lindi Press Club wakiwa katika jumba la makumbusho Forodhani (Beit l ajab)

Viongozi wa Lindi Press Club wakati walipotembelea kwenye afisi za baraza la habari Tazanzia-Afisi ya Zanzibar



Mkamo Mwenyekiti wa Lindi Press Club akikabidhiwa bahasha na Program Office wa Baraza la habari Tanzania-Kwenye afisi za baraza hilo Zanzibar





Thursday, May 6, 2010

Press Club yasiini mkataba mwaka mmoja na save the children

Zanzibar Press Club, hivi karibuni imetia saini makubaliano ya kazi save the children kwa ajili ya kufanya vipindi mbali mbali katika radio na television

aidha mkataba huo mwa muda wa miezi kumi na mbili tafanya kwa ushirikiano baina ya ZPC na PPC

U.S. Ambassador Alfonso Lenhardt and Imam of Shumbamjini mosque in Micheweni, Sheikh Nassour Kombo unveil a plaque on April 29, 2010.